Mwanaume afariki akiwa katika mashindano ya ngono mzunguko wa saba

Mwanaume afariki akiwa katika mashindano ya ngono mzunguko wa saba

04 July 2019 Thursday 14:56
Mwanaume afariki akiwa katika mashindano ya ngono mzunguko wa saba

LAGOS, Nigeria
MWANAUME  aliyefahamika kwa jina moja tu la Davy amefariki wakati akiwa kwenye mashindano ya kufanya mapenzi  na mwanamke, Loveth

Tukio hilo limetokea jana Julai 3, 2019 jijini Lagos nchini Nigeria  na kwamba  Davy aliimudu vyema mizunguko ya awali kabla ya kuzidiwa na kufariki akiwa kwenye mzunguko wa saba

Awali imeelezwa kuwa baada ya mabishano ya muda mrefu baina ya wawili hao Davy aliamua kumpeleka Loveth kwenye hoteli moja iliyopo Ikotun, Lagos kwa ajili ya kuthibitisha nani anauwezo wa kufanya mapenzi zaidi

Inaelezwa kuwa Davy aliimudu vyema mizunguko ya awali kabla ya kuzidiwa na kufariki akiwa kwenye mzunguko huo wa saba

Loveth aliomba msaada kwa meneja wa hoteli hiyo ambaye alimpeleka katika Kituo cha Polisi cha Ikotun huku mwili wa Davy ukipelekwa Hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi

Updated: 04.07.2019 15:06
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.