Rais aliyepinduliwa Misri afariki dunia

Rais aliyepinduliwa Misri afariki dunia

17 June 2019 Monday 19:24
Rais aliyepinduliwa Misri afariki dunia

Cairo, Misri

RAIS  aliyepinduliwa  nchini Misri, Mohamed Morsi, amefariki dunia hii leo Juni 17, 2019

Televisheni ya taifa ya nchi hiyo imetangaza kuwa Morsi amefariki gafla akiwa amefikishwa mahakamani

Mohamed Morsi ambaye ni rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia alipinduliwa na jeshi la nchi  hiyo mwaka  2013.

Baada ya hapo amekuwa gerezani na alionekana kwa mara ya kwanza hadharani tangu kupinduliwa mwezi Julai, 2013. 

Alifikishwa mbele ya mahakama ya uhalifu ya Cairo.

Updated: 19.06.2019 09:40
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.