Askofu Ruwai'chi atolewa ICU

Askofu Ruwai'chi atolewa ICU

16 September 2019 Monday 17:29
Askofu Ruwai'chi atolewa ICU

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

JOPO la wataalam  saba wa Taasisi ya Mifupa ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) limeruhusu mhashamu askofu mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Yuda Ruwai'chi, kutoka chumba cha ICU kwenda katika wodi ya kawaida.

Hatui hiyo baada ya kutolewa mashine iliyokuwa ikimsadia na anaendelea vizuri na kufanya mazoezi.

Askofu Ruwai'chi alifikishwa MOI akitokea Hospitali ya Rufaa Kilimanjaro (KCMC) Jumatatu Septemba 9, 2091 na kufanyiwa upasuaji mkubwa wa ubongo.

Updated: 16.09.2019 17:35
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.