banner68
banner58

Lugumi atinga Wizara ya Mambo Ndani kuonana Lugola

Lugumi atinga Wizara ya Mambo Ndani kuonana Lugola

31 July 2018 Tuesday 11:57
Lugumi atinga Wizara ya Mambo Ndani kuonana Lugola

Leo July 31, 2018 Mmiliki wa Kampuni ya Lugumi, Said Lugumi amefika katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani DSM kuitikia wito wa Waziri Kangi Lugola

Waziri Lugola alimpa siku 10 IGP, Simon Sirro kumfikisha Lugumi ofisini kwake.

Ikumbukwe Kampuni ya Lugumi iliingia mkataba wa Bilioni 37 na Jeshi la Polisi kufunga mashine za kieletroniki za kuchukua alama za vidole katika vituo vya Jeshi hilo, lakini ilibainika kufunga mashine 14 kati ya 106, licha ya kulipwa 90% ya fedha, kwa mujibu wa mkataba.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.