banner68
banner58

Mikoa sita kukumbwa na upepo mkali kesho, watumiaji vyombo baharini waonywa

Watumiaji wote wa vyombo vya usafiri baharini wametakiwa kuchukua tahadhari ya upepo huo ambao unaweza kuleta madhara.

Mikoa sita kukumbwa na upepo mkali kesho, watumiaji vyombo baharini waonywa

Watumiaji wote wa vyombo vya usafiri baharini wametakiwa kuchukua tahadhari ya upepo huo ambao unaweza kuleta madhara.

16 May 2018 Wednesday 18:36
Mikoa sita kukumbwa na upepo mkali kesho, watumiaji vyombo baharini waonywa

Na Mwandishi Wetu

IDARA ya hali ya hewa nchini Tanzania (TMA) imesema kuwa baadhi ya mikoa inatarajiwa kukumbwa na upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa siku ya kesho Alhamis.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dk Agnes Kijazi mikoa itakayokumbwa na upepo huo ni Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Pwani Tanga , Visiwa vya Pemba na Unguja.

Watumiaji wote wa vyombo vya usafiri baharini wametakiwa kuchukua tahadhari ya upepo huo ambao unaweza kuleta madhara.

Kuhusu hali ya bahari alisema inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi hadi makubwa na matazamio kwa siku ya Ijumaa ni mvua kuendelea kunyesha katika maeneo ya ukanda wa Ziwa Victoria.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.