banner68
banner58

Tazama matokeo ya kidato cha sita hapa

Tazama matokeo ya kidato cha sita hapa

13 July 2018 Friday 15:27
Tazama matokeo ya kidato cha sita hapa

TAZAMA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam.

Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 72,866 sawa na 95.52% wamefaulu katika daraja la kwanza hadi la tatu wakiwemo wasichana 30,619 sawa na 95.92% na wavulana 42,247 sawa na 95.23%. Waliopata daraja la kwanza ni 8,168.

BONYEZA LINK HAPA CHINI

MATOKEO YA ACSEE 2018 Link 1

MATOKEO YA ACSEE 2018 Link 2

MATOKEO YA ACSEE 2018 Link 3

MATOKEO YA UALIMU 2018 Link 1

MATOKEO YA UALIMU 2018 Link 2

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.