Zitto amchongea Katibu Mwenezi wa CCM PolePole bungeni

Akijibu, Naibu waziri Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, George Kakunda alisema kuwa wizara haina taarifa lakini inafahamu kuwa Baraza...

Zitto amchongea Katibu Mwenezi wa CCM PolePole bungeni

Akijibu, Naibu waziri Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, George Kakunda alisema kuwa wizara haina taarifa lakini inafahamu kuwa Baraza...

14 June 2018 Thursday 12:01
Zitto amchongea Katibu Mwenezi wa CCM PolePole bungeni

Na Mwandishi Wetu

AGIZO la Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphey Polepole limesababisha halmashauri ya Kigoma ujiji kushindwa kukusanya ushuru, bunge limeelezwa.

Hayo yameelezwa leo na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe katika swali la nyongeza ambapo alisema kuwa katibu huyo alitoa agizo hilo mwezi wa tatu mwaka huu.

Alisema kuwa halmashauri wa Kigoma ujiji ilipitisha sheria ya tozo ndogo , lakini katibu huyo alikwenda huko na kuagiza isitekelezwa na sasa wanaogopa kukusanya na kuitaka serikali kutoa maelezo.

Akijibu, Naibu waziri Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, George Kakunda alisema kuwa wizara haina taarifa lakini inafahamu kuwa Baraza lilipitisha viwango vya tozo.

Alisema kuwa hata Mkuu wa wilaya aliwataarifu kuhusu taarifa kuhusu kupitishwa kwa tozo hiyo lakini akaahidi kufuatilia suala hilo.

Hata hivyo alizitaka halmashauri nchini kuendelea kutenga asilimia kumi kwa ajili ya mikopo kwa wanawake na vijan

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.