Davido jukwaa moja na Jay Z na Nikki Minaj

Davido ni msanii maarufu sana kutoka nchini Nigeria

Davido jukwaa moja na Jay Z na Nikki Minaj

Davido ni msanii maarufu sana kutoka nchini Nigeria

06 June 2018 Wednesday 17:12
Davido jukwaa moja na Jay Z na Nikki Minaj

Mwaka 2018 unaendelea kuwa mzuri kwa staa wa Nigeria, Davido baada ya kutangazwa kuwa atatumbuiza kwenye tamasha la JAY-Z “Made in America” pamoja na Nicki Minaj, Post Malone, Meek Mill na wengine.

Davido ametajwa kwenye orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha la “One Music Fest.”

Davido atatumbuiza jukwaa moja na mastaa wakubwa wa Marekani kama Nas, Cardi B, Big Sean, Common, Jeezy, T.I na wengine wengi.

Tamasha la “One Music Fest” litafanyika kuanzia tarehe 8-9 Septemba huko Atlanta, jimbo la Georgia nchini Marekani.

Pia Davido atatumbuiza kwenye tamasha maarufu la Uingereza “Wireless Fest” mwaka huu pamoja na wakali wengine kama J Cole, Cardi B, Dj Khaled, Big Sean na wengine wengi.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.