Diamond atua kwa Zari, Je mambo yameshaiva?

Swali ambalo bado halijafanikiwa kupata majibu ni je tayari wamesharudiana au bado katika harakati za `Reality Show` ambayo itarushwa Wasafi

Diamond atua kwa Zari, Je mambo yameshaiva?

Swali ambalo bado halijafanikiwa kupata majibu ni je tayari wamesharudiana au bado katika harakati za `Reality Show` ambayo itarushwa Wasafi

07 June 2018 Thursday 10:26
Diamond atua kwa Zari, Je mambo yameshaiva?

Na Amini Nyaungo

UKIWAULIZA mashabiki wa Diamond Platnumz kama wanahitaji arudiane na Zari wengi wanahitaji wawe pamoja ili azidi kufanya vizuri Zaidi.

Tayari msanii huyo amefika Afrika Kusini na picha za awali kabisa zimeonesha akiwa na watoto wake wawili Tiffa na Nillan na nyingne akiwa kimahaba na mama wa watoto wake Zari Hassan.

Swali ambalo bado halijafanikiwa kupata majibu ni je tayari wamesharudiana au bado katika harakati za `Reality Show` ambayo itarushwa Wasafi.

Hapo juzi Zari aliposti kupitia ukurasa wake wa Instagram akisema amepokea zawadi kutoka kwa mpenzi wake ambae alimuandika kama`Bae` japo hakusema kama ni yupi hasa.

Huenda leo zikaonekana picha nyingi za msanii huyo akiwa na Zari pamoja na familia yake.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Kallapol 2018-06-19 14:18:45

daaaaaah!hayo nd maixha bro,mwanamke wa kuoa ni zari Kwanza a atumia xna akili ktk maixha yake pia anajielewa xna