banner68
banner58

Dully Sykes kuwalipa Ali Kiba na Mr. Blue

Dully Sykes kuwalipa Ali Kiba na Mr. Blue

16 April 2018 Monday 19:09
Dully Sykes kuwalipa Ali Kiba na Mr. Blue

Na Amini Nyaungo

Nguli wa muziki wa Kizazi kipya nchini Tanzania maarufu kama 'Bongo Flava' Dully Sykes amempongeza Ali Kiba kwa kitendo chake cha kuoa na kumuasa ampende mwenza wake.

Mkali huyo ameiambia Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa amefurahi kusikia kitendo cha Ali Kiba kuoa licha ya kutopata taarifa sahihi kutoka kwake.

Amesema kuwa nayeye amehamasika kuoa baada baada ya kuona wadogo zake wamefanya hivyo, ambapo ametoa mfano kwa Mr. Blue .

"Namtakia maisha mema ya ndoa yake, ajue ndoa sio jambo rahisi ampende mke wake na afanye kila awezalo amfurahishe," amesema.

Dully Sykies ni mtu wa kwanza kufanya 'Collabo' na Ali Kiba inayoitwa 'Nimechoka kuteseka' in 2003.

Azania Post

Updated: 16.04.2018 19:23
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.