Jay Z na Beyonce kumbe wanaimba watu katika album yao

Albamu ya wawili hao imeanza kuunzwa mitandaoni, na miongoni mwa mengi inazungumzia maisha yao kama wanandoa

Jay Z na Beyonce kumbe wanaimba watu katika album yao

Albamu ya wawili hao imeanza kuunzwa mitandaoni, na miongoni mwa mengi inazungumzia maisha yao kama wanandoa

18 June 2018 Monday 15:08
Jay Z na Beyonce kumbe wanaimba watu katika album yao

Jay Z na Beyonce wameachia album mpya 'Everything Is Love' na wamezungumzia mambo mengi ndani ya album hiyo, Azania Post tumekukusanyia mistari (lines) na maana zake.

“Yeah, f**k your subpoenas and your misdemeanors

Was too busy touring out all your arenas”.

Wiki chache zilizopita Hov aliitwa mahakamani kwenda kuelezea kwanini alikuwa anapotezea muito wa mahakama (subpoena) kwenda kusaidia uchunguzi wa kampuni iliyonunua share zake za kampuni ya Rocawear

“I ain't going to nobody when me and my wife beefing

I don't care if the house on fire, I'm dying, nigga, I ain't leaving

Ty-Ty take care of my kids, after he done grieving

If y'all don't understand that, we ain't meant to be friends”

Hii line ipo kwenye ngoma ya 'Friends' Kanye West amewahi kulalamika kuwa JAY Z anamtenga, alilalamika kuwa Hov hakwenda hata kwenye harusi yake, JAY-Z amemjibu, anasema mbona hakuna mtu aliyeenda kumsaidia wakati yeye na Beyonce wamegombana

”When I say free the dogs, I free 'em

That's how Meek got his freedom

Y'all put niggas on a t-shirt, it hurts you ain't never meet 'em”.

Hii pia ipo kwenye ngoma ya 'Friends' JAY-Z anaongelea jinsi alivyomsaidia Meek Mill kutoka Jela, Meek alivyotoka alisema JAY alimlipia mamilioni ya dola ambazo mwenyewe asingeweza kuyalipa.

Line ya mwisho anawapondea Kylie na Kendall Jenner ambao walitumia picha za Tupac na Biggie kwenye collection ya nguo zao na kuziuza wakati hawana hata uhusiano wowote na rappers hao wakongwe.

”Billie Jean in his prime

For the thousand time, the kid ain't mine

Online they call me Dad, kiddingly

You're not supposed to take this Dad thing literally”.

Hii line ipo kwenye ngoma ya “Heard about Us” Billie Jean ni wimbo maarufu wa Michael Jackson kuhusu mwanamke aliyelala usiku mmoja na MJ na kuanza kudai kuwa ni baba wa mtoto wake.

Rapper Rymir Satterthwaite mwezi uliopita aliibuka na kudai kuwa JAY-Z ni baba yake na amekuwa akikwepa kupima DNA kwa miaka.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.