banner68

Justin Bieber ahamisha majeshi, amvisha pete Hailey Baldwin

Justin Bieber ahamisha majeshi, amvisha pete Hailey Baldwin

09 July 2018 Monday 13:26
Justin Bieber ahamisha majeshi, amvisha pete Hailey Baldwin

Taarifa zinazoripotiwa kuwa staa Justin Bieber amvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa sasa Hailey Baldwin siku ya Jumamosi July 7,2018 katika visiwa vya Bahamas  na tukio hilo lilihudhuriwa na watu wachache.

Penzi kati ya wawili hao limeonekana kuwa imara ingawa wamekuwa wakigombana na kuachana tokea waanzishe penzi hilo 2015 mpaka 2018, Justin Bieber na Hailey Baldwin wamekuwa wakificha kuhusiana uhusiano wa kimapenzi uliopo kati yao.

Tetesi zinadai kuwa Justin Bieber ameamua kufanya hivyo baada ya kuwa na mwanadada kwa muda mrefu lakini mahusiano haya ni baada ya kuachana rasmi na Selena Gomez.

Keywords:
Justin Bieber
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.