banner58

Makonda ametangaza harusi ya Elizabeth Michael ‘Lulu’

Makonda alifanya hivyo kwa kupitia mtandao wa kijamii

Makonda ametangaza harusi ya Elizabeth Michael ‘Lulu’

Makonda alifanya hivyo kwa kupitia mtandao wa kijamii

31 May 2018 Thursday 11:17
Makonda ametangaza harusi ya Elizabeth Michael ‘Lulu’

Na Amini Nyaungo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza harusi ya muigizaji mahiri wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’ na meneja wa E.FM Majizo huku akitanabaisha kuwa yeye ndiye mmoja ya wajumbe wa shughuli hiyo.

Makonda aliandika kupitia mtandao wake wa kijamii akitumia wimbo wa Mrisho Mpoto aliyoitoa hivi karibu kuwa itatumika katika shughuli hiyo.

Tarehe rasmi bado haijasemwa lakini inasemekana itakuwa moja ya harusi itakayotikisa sana hapa bongo hasa kwa ukubwa na hamasa ya wote wawili.

Lulu ambaye anatumiki kifungo cha nje, alitumikia mwaka mmoja na mwezi mmoja kabla ya kutakiwa kutumikia kifungo cha nje.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.