Rich Mavoko wa WCB na Lulu Diva hakuna siri tena

Waweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi

Rich Mavoko wa WCB na Lulu Diva hakuna siri tena

Waweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi

21 May 2018 Monday 11:49
Rich Mavoko wa WCB na Lulu Diva hakuna siri tena

Na Amini Nyaungo

Rich Mavoka na Lulu Diva baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa wameweka wazi kwa mashabiki wao kuwa wanamahaba ya dhati na kinachofuata baina ya wawili hao ni ndoa.

Wawili hao hivi sasa wametoa ngoma mpya inayoenda kwa jina la ‘Ona’ ambayo ina maudhui ya kimapenzi.

Kwa muda mrefu, watu wengi wamekuwa wakihoji juu ya uhusiano wa wawili hao, japo kwa nyakati tofauti walikuwa wakikana kuwa ni wapenzi, hadi pale walipotoa ngoma ya pamoja na kuutangazia uma kuwa wao ni couple.

Lulu Diva alim-post kupitia ukurasa wake wa Instagram akisema kuwa `Nakupenda peke yako` huku akionesha imoji ya kopa yenye ishara ya upendo.

Mavoko hajachelewa naye amemposti na kumueleza kuwa `Sioni maneno ya watu kwangu kama choo, mtoto kama chumvi jikoni nilipokuonja nikaomba poo` ambapo moja ya mistari inayopatikana katika nyimbo hiyo.

Mjadala mkubwa uliopo ni kwamba, Je Mavoko atafuata msusuru wa mastaa ambao wanaoa kila leo ukianza na Proffesa Jay, Roma Mkatoliki, Stamina, Abdu Kiba na Ali Kiba?

Azania Post

Updated: 22.05.2018 10:17
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
bokos justin 2018-07-10 11:45:29

mavoko walai lulu diva akufai

Avatar
bokos justin 2018-07-10 11:49:45

mavoko , lulu diva akufahi

Avatar
jaden star 2019-06-03 08:39:46

mavoko nina ishu na ww nitafute ucdharau