Zari kumuanika Diamond katika Jarida la ‘True love East Africa’

Huenda likauzwa sana kutokana na watu kutaka kujua ukweli kuhusu maisha ya Zari, huku maisha ya Diamond pia yataelezwa humo kutokana na yeye...

05 June 2018 Tuesday 10:53
Zari kumuanika Diamond katika Jarida la ‘True love East Africa’

Na Amini Nyaungo

WASWAHILI Husema aliyenacho huongezewa hii imedhihirisha dhahiri baada ya Zari Hassani kuzidi kung’aa tena Afrika Mashariki kwa kunogeshwa katika Jarida la Africa Mashariki linalofahamika kama ‘True Love East Africa’.

Jarida hilo ambalo ni maarufu kabisa mara nyingi huelezea maisha ya watu mashuhuli wakieleza walipopitia na mambo mengine ya kimaisha.

Zari ‘the Boss Lady’ katika Jarida hilo ameelezea maisha yake ya mahusiano na mambo mengine.

Huenda likauzwa sana kutokana na watu kutaka kujua ukweli kuhusu maisha ya Zari, huku maisha ya Diamond pia yataelezwa humo kutokana na yeye kuwahi kuwa na uhusiano na msanii huyo.

Kwanye sura ya mbele ya jarida hilo Zari ametokea kwenye muonekano kama wa malkia.

Azania Post

Updated: 05.06.2018 14:00
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.