banner68
banner58

Papa Francis atoa neno kwa maaskofu wanaokabiliwa na kashfa za ngono

Papa Francis atoa neno kwa maaskofu wanaokabiliwa na kashfa za ngono

15 May 2018 Tuesday 17:21
Papa Francis atoa neno kwa maaskofu wanaokabiliwa na kashfa za ngono

KIONGOZI wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis, anatarajiwa kuwashinikiza maaskofu zaidi ya 30 nchini Chile wanaokabiliwa na kashfa za ngono ambazo zimelikumba kanisa nchini humo, wakati wa mkutano wa siku tatu unaoanza leo.

Askofu Fernande Ramos wa Santiago na ambaye pia ni katibu wa maaskofu wa Chile amesema kwenye taarifa kuwa wanahisi uchungu kwa sababu kuna waathiriwa, na hilo linawauma kwa sababu dhuluma hizo zilitendeka katika mazingira ya kanisa.

Wiki iliyopita, makao makuu ya kanisa Katoliki - Vatikan ilisema Papa Francis anataka kutathmini kwa undani vyanzo na athari za matumizi mabaya ya madaraka pamoja na sababu zilizopelekea baadhi ya visa hivyo vya ngono kufichwa na waathirika kupuuzwa.

Keywords:
Papa Francis
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
KUKU NYAMA 2018-06-11 17:19:26

MMMH