Rwanda kuwapokea Princes Harry na Meghan Markle

Rwanda kuwapokea Princes Harry na Meghan Markle

29 May 2018 Tuesday 15:19
Rwanda kuwapokea Princes Harry na Meghan Markle

Udhamini wa Arsenal unaonekana kuleta faraja kwa nchi ya Rwanda, baada ya kuelezwa Prince Harry na Meghan Markle kutembelea Rwanda kwa ajiri ya mapunziko.

Baada ya kufunga Ndoa ya kifahari wiki iliyopita yaani Royal Wedding, Prince Harry na Mkewe Meghan Markle wameenda kujipumzisha nchini Canada.

Hii ni baada ya mvutano wa muda mrefu kuwa ni wapi wawili hao wataenda kwa ajili ya fungate, Afrika ilikuwa chaguo la juu kabisa. Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vikubwa vya habari nchini Uingereza vimedai kuwa wanandoa hao wapya waliichagua Canada.

Hoteli watakayofikia inaitwa Alberta's Fairmont Jasper Park Lodge, ambapo bei ya Chumba (Outlook Cabin) ni Dola za Kimarekani Elfu 6, sawa na zaidi ya Milioni 13 za Kitanzania, hiyo ni kwa usiku mmoja.

Imeripotiwa kuwa, Chumba hicho kiliwahi pia kuwapokea kwa fungate: King George VI na Queen Elizabeth mwaka 1939 na pia Queen Elizabeth II na Prince Philip mwaka 2005.

Updated: 29.05.2018 17:38
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.