Kiongozi wa upinzani afungwa jela siku 0

Kiongozi wa upinzani afungwa jela siku 0

02 July 2019 Tuesday 09:55
Kiongozi wa upinzani afungwa jela siku 0

Moscow, Urusi
KIONGOZI wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny amehukumiwa kifungo cha siku kumi jela.

Hatua hiyo ni kufuatia kukutwa na hatia ya kushiriki maandamano yasiyo halali mwezi Juni 2019.

Mpinzani huyo wa Serikali ya rais, Vladimir Putin alikamatwa katika maandamano hayo yaliyofanyika Juni 12, 2019.   Huku takribani  watu 500 pia walikamatwa na kushikiliwa na vyombo vya usalama kutokana na maandamano hayo

Wananchi wa Urusi waliandamana kupinga kukamatwa kwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi, Ivan Golunov 

Mwanahabari huyo alikamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya tuhuma ambazo zilifutwa siku 2 baadaye kwa kukosekana kwa ushahidi

Updated: 02.07.2019 10:01
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.