Ali Juma Shamhuna afariki Dunia

"Katika enzi za uhai wake Shamhuna ambaye ni kiongozi mwandamizi ameshika nyadhifa mbalimbali za uongozi serikalini kwa awamu tofauti"

Ali Juma Shamhuna afariki Dunia

"Katika enzi za uhai wake Shamhuna ambaye ni kiongozi mwandamizi ameshika nyadhifa mbalimbali za uongozi serikalini kwa awamu tofauti"

20 May 2019 Monday 04:09
Ali Juma Shamhuna afariki Dunia
Na mwandishi wetu, Zanzibar
ALIYEKUWA Naibu waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar, Ali Juma Shamhuna amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Mei 20, 2019.

Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa mapema jioni mjini Ugunja kisiwani Zanzibar.

Katika enzi za uhai wake Shamhuna ambaye ni kiongozi mwandamizi ameshika nyadhifa mbalimbali za uongozi serikalini kwa awamu tofauti. 

Amewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa serikali ya Zanzibar na Waziri wa Maji, Ardhi, Nyumba na Nishati,

Anatarajiwa kuzikwa leo Mei 20, 2019 kisiwani Unguja.


 
Updated: 20.05.2019 14:02
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.