banner68

Chid Benz matatani, akamatwa na madawa ya kulevya

Ni mara ya pili msanii huyo kukamatwa huko Dodoma

Chid Benz matatani, akamatwa na madawa ya kulevya

Ni mara ya pili msanii huyo kukamatwa huko Dodoma

18 June 2018 Monday 12:57
Chid Benz matatani, akamatwa na madawa ya kulevya

Na Mwandishi Wetu

Msanii wa kizazi kipya Rashidi Abdallah 'Chid Benz' amekamatwa na dawa za kulevya kiasi cha gram 5 mkoani Dodoma leo.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Giless Muroto ametoa taarifa hiyo mjini Dodoma ambapo ni mara ya pili kwa mtuhumiwa huyo kukamatwa mkoani humo mwaka huku.

Katika tukio lingine Kamanda Muroto amesema mtuhumiwa wa mauaji ya mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma Rose Mdenye anayedaiwa kuwa mume wake amekamatwa ifakara huko mkoani Morogoro.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.