Hakimu apandishwa kizimbani akituhumiwa kuomba rushwa

Hakimu apandishwa kizimbani akituhumiwa kuomba rushwa

12 September 2019 Thursday 11:13
Hakimu apandishwa kizimbani akituhumiwa kuomba rushwa

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) imemfikisha Mahakamani, Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magomeni Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, Omary Abdalah (40), akituhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya Sh. 703,000

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kuomba fedha hizo ili kumsaidia mlalamikaji kwenye kesi ya mirathi iliyofunguliwa Mahakamani hapo

Hakimu huyo amefikishwa Mahakamani pamoja na mfanyabiashara George Barongo (37), mkazi wa Kibamba kwa tuhuma ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh. 498,000

Updated: 12.09.2019 11:21
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.