Haya hapa mazungumzo ya Magufuli, Cyril Ramaphosa

Haya hapa mazungumzo ya Magufuli, Cyril Ramaphosa

15 August 2019 Thursday 15:30
Haya hapa mazungumzo ya Magufuli, Cyril Ramaphosa

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

RAIS John Magufuli leo Agosti 15, 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam amefanya mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa.

Pamoja na mambo mengine Rais Magufuli amesema Tanzania itazidi kufungua milango ya ushirikiano na Afrika Kusini na kuwataka Wafanyabiashara na Wawekezaji wa nchi hizo kutumia fursa za vivutio mbalimbali vilivyopo ili kukuza uchumi kwa manufaa ya wananchi wa Mataifa hayo.

Taarifa kamili hii hapa:

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.