Jinsi ya kujiepusha na 'matapeli' zoezi mifuko ya plastiki

Jinsi ya kujiepusha na 'matapeli' zoezi mifuko ya plastiki

24 May 2019 Friday 10:04
Jinsi ya kujiepusha na 'matapeli' zoezi mifuko ya plastiki

Na mwandishi wetu, Dar es salaam
SERIKALI imetoa mwongozo wa jinsi uratibu wa zoezi la kutokomeza mifuko ya plastiki nchini utakavyokuwa.

Maelekezo hayo yametolewa na ofisi ya makamu wa rais, yamelenga kuwaondolea adha na usumbufu wananchi, ikiwa na maana kuwa baadhi ya wachache wasiowaaminifu utumia fursa hii kuwatapeli wananchi.

Kuwaepuka matapeli hao zingatia haya;

Muulize kitambulisho chake na ukihakiki ikiwezekana kupitia ofisi ya serikali ya mtaa.

Usikubali aingie ndani ya nyumba au gari lako kukupekua 

Usikubali akupekue au kwa ulichobeba

Upewe risiti ya malipo ya  serikali endapo ukikutwa na kosa linalohusiana na  mifuko ya plastiki

Updated: 24.05.2019 10:36
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.