JK amtembelea mwalimu wake wa shule ya msingi

JK amtembelea mwalimu wake wa shule ya msingi

05 August 2019 Monday 10:18
JK amtembelea mwalimu wake wa shule ya msingi

Na mwandishi wetu, Bagamoyo
RAIS mstaafu awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete amemtembelea Mzee Raphael Semindu Simon, ambaye ni mwalimu aliyemfundisha darasa la kwanza katika shule ya msingi Msoga mwaka 1958.

Kikwete amesema amefika  nyumbani kwa mwalimu wake huyo kijijini Msoga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani na kwamba amefika hapo alipo kutokana na mchango adhimu wa mwalimu huyo

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.