Kikwete: Nazushiwa, Nachonganishwa na viongozi

Kikwete: Nazushiwa, Nachonganishwa na viongozi

11 October 2019 Friday 06:18
Kikwete: Nazushiwa, Nachonganishwa na viongozi

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amekanusha taarifa zinaonendelea kusambaa kwamba amewazungumzia ndivyo sivyo viongozi kadhaa nchini.

Hatua hiyo inafuatia hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni jijini Dar es Salaam katika kongamano la kumbukizi ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarange Nyerere. Oktoba 14, 2019 anatimiza miaka 20 tangu kufariki

Hii hapa taarifa kamili :

Updated: 11.10.2019 06:27
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.