banner68
banner58

Lugola aagiza kukamatwa aliekuwa Mkurugenzi wa NIDA na Wafanyakazi

Lugola aagiza kukamatwa aliekuwa Mkurugenzi wa NIDA na Wafanyakazi

21 August 2018 Tuesday 17:57
Lugola aagiza kukamatwa aliekuwa Mkurugenzi wa NIDA na Wafanyakazi

Leo August 21, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Mkurugenzi wa Makosa Jinai nchini (DCI) Robert Boaz kumkamata aliekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu kabla ya saa 12 jioni leo.

Pia Waziri Lugola ameagiza kukamatwa kwa wamiliki wa kampuni tatu zinazodaiwa kuhusika katika mradi wa vitambulisho vya taifa, Gotham’s International Limited, Gwiholoto Impex Ltd na Aste Insurance wanaodaiwa kufanya udanganyifu na kushindwa kurejesha fedha walizotumia kinyume na utaratibu.

Akizungumza na waandishi wa habari Lugola ameagiza kukamatwa watumishi wote wa NIDA ambao wanatuhumiwa katika ubadhirifu wa fedha za umma wakishirikina na kampuni hizo.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.