Madawa ya kulevya yadhibitiwa kwa asilimia 95

Madawa ya kulevya yadhibitiwa kwa asilimia 95

17 June 2019 Monday 10:34
Madawa ya kulevya yadhibitiwa kwa asilimia 95


Na mwandishi wetu, Dodoma
SERIKALI imesema kuwa imedhibiti kwa asilimia  95  uigizwaji wa madawa ya kulevya nchini.

Pia Serikali inatarajia kujenga kituo kikubwa cha tiba ya watu wenye ulaibu wa madawa ya kulevya mkoani Dodoma.

Hayo yamesemwa  leo Juni 17, 2019 Bungeni Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)  Jenista Mhagama.

"Katika kukabiliana na matumizi ya dawa ya kulevya, serikali imedhibiti kwa asilimia 95 uigizwaji wa madawa hayo. Na tayari serikali inatarajia kujenga kituo kipya na kikubwa cha tiba ya watu wenye ulaibu wa madawa ya kulevya mkoani Dodoma,'' amesema

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.