Magufuli amtumbua waziri, bosi TRA

Magufuli amtumbua waziri, bosi TRA

08 June 2019 Saturday 12:30
Magufuli amtumbua waziri, bosi TRA

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

RAIS John Magufuli amemteua Innocent Bashungwa  kuwa waziri  wa Viwanda na Biashara akichukua nafasi ya Joseph Kakunda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.


Taarifa ya Ikulu leo Juni 8, 2019 iliyosainiwa na mkurugenzi wa mawasiliano ya rais Ikulu, Gerson Msigwa pia inaeleza rais amemteua Edwin Mhede kuwa kamishna  mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) akichukua nafasi ya Charles Kichere.


Kichere ameteuliwa kuwa katibu tawala mkoa wa Njombe akichukua nafasi ya Erick Shitindi ambaye amestaafu.


Kabla, Bashungwa alikuwa Naibu waziri wa Kilimo huku Mhede alikuwa Naibu katibu mkuu wizara ya viwanda na biashara

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.