Magufuli atua Songwe, Majaliwa Singida

Magufuli atua Songwe, Majaliwa Singida

04 October 2019 Friday 11:41
Magufuli atua Songwe, Majaliwa Singida

Na mwandishi wetu, Singida

RAIS John Magufuli ametua mkoani Songwe kwa ziara ya kikazi ya siku tatu pamoja na mambo mengine atafungua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Songwe na wilaya zake.

Naye Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 4, 2019 ametua mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku nne.

PICHANI CHINI:Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkandarasi wa mradi wa maji Kintinku/Lusilile, uliyopo katika Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, Oktoba 4.2019. Waziri Mkuu yupo Singida kwa ziara ya kikazi ya siku nne.

Updated: 04.10.2019 11:52
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.