banner68
banner58

Nauli za ndege mpya Boeing 787-8 Dreamliner hizi hapa, sawa na bure

Nauli za ndege mpya Boeing 787-8 Dreamliner hizi hapa, sawa na bure

11 July 2018 Wednesday 10:51
Nauli za ndege mpya Boeing 787-8 Dreamliner hizi hapa, sawa na bure

Kufuatia ujio wa ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo inatarajiwa kuanza safari zake wiki tatu zijazo tayari nauli za kupanda ndege hiyo zimeweka bayana ambapo gharama zimetajwa kuanzia Shilingi 93,000 tu kwa safari moja.

Hata hivyo ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 262 inatarajia kuanza safari zake Julai 29, 2018 kuanzia Dar es salaam kuelekea Kilimanjaro na kisha kuelekea Mwanza na kutoka Mwanza ndege hiyo itakuwa inaruka kuelekea Kilimanjaro na kurudi jijini Dar es salaam kila siku kwa mwezi mzima.

Hizi ndio gharama za nauli ya ndege mpya Boeing 787-8 Dreamliner.

Dar – Mwanza shilingi 113,000 pamoja na kodi kwa sufari moja, lakini kwenda na kurudi ni shilingi 206,000.

Kilimanjaro – Mwanza shilingi 93,000 kwa safari moja, kwenda na kurudi ni shilingi 166,000

Dar es salaam – Kilimanjaro shilingi 98,000 kwa safari moja, kwenda na kurudi  ni shilingi 176,000

Aidha ndege hiyo inatarajiwa kurushwa na marubani 8, ilitua jijini Dar es salaam Jumapili iliyopita na kupokelewa na watanzania wakiongzwa na Rais John Pombe Magufuli.

Updated: 11.07.2018 14:00
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Bushiri 2018-07-11 13:41:15

Nimewapata vzr ni usafiri mzur sana na tumerahisishiwa safar maan tulipata tabu sana

Avatar
dogo 2018-07-11 13:45:24

Kilimanjaro_mwanza ni tsh.93000 inakuaje kwenda na kurudi iwe 1666,000 samahani naomba ufafanuzi

Avatar
peter mohhe 2018-08-03 11:51:31

vip safari za kwenda arusha itaanza lini na bezake

Avatar
peter mohhe 2018-08-03 11:51:58

vip safari za kwenda arusha itaanza lini na bezake

Avatar
Mark kaaya 2018-08-07 18:48:53

Nikitoa go and return he kuna siku maalum inatakiwa nigeuze?

Avatar
Mgisa Wamgisa 2018-08-12 09:56:11

Hongera Mheshimiwa Raisi Kwa Usafiri Wa Bei Nafuu,,tushindwe Wenyewe2,,kusafiri,,

Avatar
Ibrahim kadabra 2018-08-12 13:11:50

kwakweli rais wetu anazidi kutuboreshea mungu azidi kuupa maisha marefu

Avatar
Meston 2018-08-23 09:52:58

Ratiba Ya Mbeya Lini? Na Nauli Nauli Itakuwa Tsh Ngapi?