Ndege mbili mpya zanunuliwa

Ndege mbili mpya zanunuliwa

19 September 2019 Thursday 17:24
Ndege mbili mpya zanunuliwa

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

WAKALA wa Serikali na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus wamesaini mkataba wa ununuaji wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 ambazo zitatumiwa na Shirika la ndege la Tanzania (ATCL).

Mkataba huo umesainiwa leo Septemba 19, 2019 jijini Dar es Salaam ambapo Airbus imewakilishwa na Makamu wa rais wa kampuni hiyo Afrika, Hadi Akoum na upande wa Serikali alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Ndege za Serikali, Benjamin Ndimila.

Akizungumza mara baada ya kusaini mkataba huo, Ndimila ambaye hakutaja gharama halisi inayotumika kununua ndege hizo na kwamba ndege hizo zitakuwa tofauti na zinazotumika nchini kwas asa ikiwamo kila kiti kitakuwa na ‘skrini’.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.