Ndege yenye abiria kumi yapotea angani zaidi ya saa saba

Ilikuwa inatoka mji wa Kitale kuelekea jijini Nairobi

Ndege yenye abiria kumi yapotea angani zaidi ya saa saba

Ilikuwa inatoka mji wa Kitale kuelekea jijini Nairobi

06 June 2018 Wednesday 12:09
Ndege yenye abiria kumi yapotea angani zaidi ya saa saba

Na Mwandishi Wetu

NDEGE moja nchini Kenya iliyokuwa imebeba abiria kumi imepotea kwa zaidi ya masaa saba, mamlaka za kiserikali zinazojihusisha na anga zimesema.

Katika taarifa yake ya jana, imesema kwamba ndege hiyo ilikuwa ikitokea mji wa magharibi mwa Kenya wa Kitale na kuelekea mji mkuu wa Nairobi.

Operesheni ya kuitafuta ndege hiyo imesitishwa usiku ulipotanda lakini itaendelea tena leo hii.

Mgongano wa ndege ndogo ni jambo linaloripotiwa mara kwa mara nchini Kenya. Abiria mara nyingi kupata majeraha.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.