Rais Museveni kutua nchini

Rais Museveni kutua nchini

12 July 2019 Friday 12:03
Rais Museveni kutua nchini

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuwasilini nchini  kwa ziara binafsi ya siku moja .

Atawasilini nchini Jumamosi Julai 13, 2019  katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita na kuelekea nyumbani kwa rais Magufuli katika kijiji cha Mlimani wilayani Chato.

Wakiwa hapo, wawili hao watafanya mazungumzo. Rais Magufuli yupo kijijni kwao kwa mapumziko.

Anakuwa rais wa pili kumtembea rais Magufuli, Julai 5,2019 rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alikuwepo hapo kwa ziara binafsi ya siku mbili kwa mwaliko wa rais Magufuli

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.