banner68
banner58

Ratiba ya ziara za Rais Magufuli mwezi Septemba

Ratiba ya ziara za Rais Magufuli mwezi Septemba

30 August 2018 Thursday 12:59
Ratiba ya ziara za Rais Magufuli mwezi Septemba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, atafanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu kati ya tarehe 03 Septemba, 2018 na tarehe 10 Septemba, 2018.

Katika ziara hiyo Rais Magufuli ataweka mawe ya msingi na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo, pamoja na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara.

Taarifa zaidi kuhusu ziara ya Mhe. Rais Magufuli katika mikoa husika zitatolewa na viongozi wa mikoa hiyo.

Aidha, baada ya kumaliza ziara katika mikoa hiyo Rais Magufuli anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe na Mbeya katika tarehe zitakazopangwa.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Isaac 2018-08-30 22:18:21

TUNAKUOMBEA AFYA NJEMA RAIS WETU.

Avatar
Charles M Mlelwa 2018-09-12 21:01:10

Tangu Uchaguliwe Hujafika Kwetu Ludewa! Mhe. Rais Utakuja Lini? Nakutakia Safari Njema! Karibu Ludewa Njombe!

Avatar
JAMES G PETER 2018-09-17 12:25:57

Wana rukwa tunakupe karibu mpui

Avatar
antidius nyarubamba 2018-09-29 15:39:04

nakutakia afya njema na mungu akulinde kwa jambo unalo lifanya