Tetemeko la ardhi latikisa mkoani Katavi

Tetemeko la ardhi latikisa mkoani Katavi

09 September 2019 Monday 13:52
Tetemeko la ardhi latikisa mkoani Katavi

Na mwandishi wetu, Katavi

MAPEMA leo Septemba 9, 2019 tetemeko la ardhi limetokea mkoani Katavi na hadi sasa bado hakujaripotiwa athari zozote ikiwemo kifo.

Gabriel Mbogoni ambaye ni Mjiolojia Mwandamizi kutoka Taasisi ya Jiolojia amesema tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 5.2 katika vipimo vya ritcha.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga amesema tetemeko hilo limepiga maeneo kadhaa lakini hadi sasa hakuna athari yoyote iliyoripotiwa.

Updated: 09.09.2019 13:58
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.