Wachimbaji madini watano wafariki, mgodi wafungwa Gairo

Wachimbaji madini watano wafariki, mgodi wafungwa Gairo

09 June 2019 Sunday 14:35
Wachimbaji madini watano wafariki, mgodi wafungwa Gairo

Na mwandishi wetu, Morogoro

WACHIMBAJI  wadogo wa madini  watano wanaume  wamefariki dunia na wengine watano wanaume  wamejeruhiwa kufuatia kufukiwa na kifusi cha mchanga wilayani Gairo mkoani Morogoro.

Tayari serikali kupitia wizara ya Madini imesimamisha shughuli zote za uchimbaji madini katika eneo hilo la kijiji cha Iyogwe Gairo.

Naibu waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema mgodi huo utafunguliwa hadi hapo taratibu za kisheria zitakapofuatwa


Tukio la kufukiwa limetokea  Juni 9, 2019 katika kijiji cha Iyogwe Gairo.


Walifukiwa na kifusi cha mchanga wakati wakichimba madini aina ya dhahabu ambayo yamegundulika hivi karibuni wilayani humo

Updated: 10.06.2019 07:38
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.