Watuhumiwa 70 gereza la Butimba wafutiwa kesi

Watuhumiwa 70 gereza la Butimba wafutiwa kesi

18 July 2019 Thursday 05:09
Watuhumiwa  70 gereza la Butimba wafutiwa kesi

Na mwandishi wetu, Mwanza

Serikali imefuta kesi 70 zilizokuwa zinawakabili watuhumiwa mbalimbali waliokuwa kwenye gereza Kuu la Butimba jijini Mwanza  ikiwepo kesi namba moja ya uhujumu uchumi namba moja ya mwaka 2019 ya utoroshaji wa dhahabu inayowakabili askari Polisi wanane mkoani Mwanza.

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustino Mahiga, amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari Jijini Mwanza, Julai 17, 2019  baada ya kutembelea magereza ya kanda ya Ziwa, ambapo katika Gereza la Butimba amekuta na mahabusu waliokaa kwa miaka mitano kutokana na upelelezi wa shauri kutokamilika.

Uamuzi huo unafikiwa ikiwa si siku mbili  baada ya rais John Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza gerezani hapo na kuzungumza na wafungwa

Updated: 18.07.2019 05:19
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Henry 2019-07-18 13:17:15

Rjk