Waziri Mhagama akagua maandalizi uboreshaji daftari la kudumu wapiga Kura

Waziri Mhagama akagua maandalizi uboreshaji daftari la kudumu wapiga Kura

07 June 2019 Friday 17:53
Waziri Mhagama akagua maandalizi uboreshaji daftari la kudumu  wapiga Kura

MKURUGENZI wa Daftari na Teknolojia ya Habari wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Martin Mnyenyerwa (katikati) akimueleza  jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama  wakati alipokwenda kukagua maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura jijini Dar es Salaam leo Juni 7, 2019. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge),  Maimuna Tarishi

Updated: 07.06.2019 18:03
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.