Arsenal yatulizwa kibabe

Arsenal yatulizwa kibabe

22 October 2019 Tuesday 06:12
Arsenal yatulizwa kibabe

TIMU ya Arsenal imepunguzwa makali baada ya kukubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Sheffield United.

Mechi hiyo ambayo ni ya tisa katika ligi kuu ya Uingereza imechezwa usiku wa kuamkia Oktoba 22, 2019 katika uwanja wa nyumbani wa Sheffield.

Goli la ushindi la Sheffield liliwekwa kimiani kunako dakika ya 30 kipindi cha kwanza na mchezaji Lys Mousset

Arsenal walikuwa wanainyemelea nafasi ya tatu kama wangepata ushindi dhidi ya Sheffield na kuishusha Leicester katika nafasi hiyo.

Hii ni mechi ya pili kwa Arsenal kupoteza msimu huu.

Updated: 22.10.2019 06:21
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.