Azam Fc kumtambulisha kocha mpya

Azam Fc kumtambulisha kocha mpya

11 June 2019 Tuesday 19:55
Azam Fc kumtambulisha kocha mpya


Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
KLABU ya Azam Fc leo Juni 12, 2019 inarajia kumtangaza rasmi kocha mkuu atakayekinoa kikosi cha timu hiyo.


Afisa habari wa klabu hiyo Jafari Idd ameiambia Azaniapost kuwa Juni 12,2019 pia kocha huyo atasaini mkataba na klabu hiyo.


Miongoni mwa kocha atayetajwa ni Ettiene Ndayiragije  ambaye  hivi karibuni ameipa mkono wa kwa heri klabu ya KMC

Ndayiragije raia wa Burundi aliiongoza KMC kumaliza Ligi Kuu Bara  katika nafasi ya nne msimu uliopita hivyo pia kuiwezesha kupata nafasi ya kushiriki kwa mara ya kwanza mashindano ya kimataifa. 

Updated: 12.06.2019 07:22
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.