banner68
banner58

Baada ya kumalizana na Fei Toto, Yanga kushusha mashine hizi mbili

Baada ya kumalizana na Fei Toto, Yanga kushusha mashine hizi mbili

14 July 2018 Saturday 14:12
Baada ya kumalizana na Fei Toto, Yanga kushusha mashine hizi mbili

Baada ya kuchafua hewa juzi walipomsainisha kiungo fundi wa JKU ya Zanzibar, Feisal Salum AbdallahFei Toto’, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hussein Nyika ameibuka na kutamba kuwa muda wowote kuanzia sasa watashusha mashine nyingine mbili hatari.

Kwa mujibu wa gazeti la Championi, Yanga imemsajili Fei Toto baada ya kuzizidi ujanja Singida United na Simba iliyotenga kitita cha shilingi milioni 30 huku ikimpa mshahara wa milioni mbili kwa mwezi na gari la kutembelea.

Steringi mwenyewe wa hilo picha ni Nyika ambaye ameli­ambia Championi Jumamosi kuwa, ndiyo kwanza usajili umeanza baada ya kufanikiwa kumsajili Mohamed Issa ‘Banka’ Jaffary Mohamed na Deus Kaseke.

Nyika alisema, mashine hizo mbili watakazozitambulisha zote ni washambuliaji hatari ambao kazi yao ni kupachika mabao ambao majina ni siri kwa hivi sasa. Msikie Nyika; “Wote wanatoka nje ya nchi. Wachezaji hao wote wanach­eza nafasi ya ushambuliaji namba 9 na 10 ambao tutawa­tangaza baada ya kukamirisha usajili wao na kikubwa tuna­taka kutengeneza kikosi imara kwa mahitaji ya kocha.”

“Kocha alipendekeza tusajili viungo kutokana na mahitaji yake ambayo tayari tumeyaka­mirisha hivi sasa tunaelekeza nguvu kwenye baadhi ya nafasi ikiwemo ya ushambuliaji na beki wa kati.” alisema.

Championi

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Mwaikambo 2018-07-14 20:50:43

Tuposawa

Avatar
John mashauri 2018-07-14 15:15:34

TUNAKUAMINIA MPIGANAJI

Avatar
jose 2018-08-08 14:56:59

yanga mbele

Avatar
hammie ze saint 2018-08-08 15:39:37

Yaoga viazi 2 siku zote
kab-nyumbu fc
clab-vyura fc
club-viazi fc
hzo ndyo daraja yanga
toka kikosi-A,B,and C

Avatar
GODFREY MBAZO 2018-08-10 00:42:33

Hongera Xana Klabu Ya Yanga Kwa Kufanya Usajili Mzur Wa Viungo Lakn Bado No 4&5

Avatar
galus simon 2018-08-11 20:17:50

nina uhakika mwaka 2018/2019 ubingwa wetu mazee tusife moyo yanga oyeee!!! piga kelele kama w mwana dar yanga africans

Avatar
AYUBU sisala 2018-08-14 06:15:05

naipenda yanga. 2018/2019 ubingwa lazima

Avatar
Cosmas machimu 2018-08-14 20:30:32

Yanga tusifemoyo msimu ujao ubingwa ni wetu 2018/19