banner68
banner58

Baada ya Yanga kutaka kurejea klabuni, Manji akabiliwa na mkosi mwingine

Akabiliwa na matatizo mengine kisheria mahakama kuu

Baada ya Yanga kutaka kurejea klabuni, Manji akabiliwa na mkosi mwingine

Akabiliwa na matatizo mengine kisheria mahakama kuu

11 June 2018 Monday 10:36
Baada ya Yanga kutaka kurejea klabuni, Manji akabiliwa na mkosi mwingine

Na Mwandishi wetu

Baada ya wanachama wa klabu ya Yanga kugoma kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji na baadae kikao kuamua kumfikishia ujumbe kuwa anahitajika aendelee na nafasi yake ya kiongozi huyo amezidi kukabiliwa na matatizo.

Sasa benki ya NBC Limited imeamua kumfikisha mahakamani tajiri huyo pamoja na watu wengine wanne kwa kudaiwa jumla ya shilingi bilioni 26.

Mlalamikaji amnbaye ni benki ya NBC amepeleka malalamiko yake katika mahakama kuu ya kitengo cha biashara.

Kwa mujibu wa majarida ya mahakama iliyochapishwa hivi karibuni kupita vyombo vya habari, watuhumiwa wanatakiwa wafike mahakamni Juni 25, 2018 kwa ajili ya kujibu shauri dhidi yao.

Azania Post

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.