Beki Matthijs de Ligt rasmi Juventus

Beki Matthijs de Ligt rasmi Juventus

17 July 2019 Wednesday 17:26
Beki Matthijs de Ligt  rasmi Juventus

Turin, Italia

BEKI wa kati wa Ajax, Mholanzi Matthijs de Ligt  leo Julai 17, 2019 ametua nchini Italia kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya, tayari kujiunga na klabu ya Juventus

Hatua hiyo inakamilisha tetesi za usajili wake katika kipindi hiki cha majira ya kiangazi. 

Beki huyo aliyezaliwa mwaka 1999 mwenye umri wa miaka 20 anajiunga Juventus kwa ada ya uhamisho wa Euro milioni 75

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.