Beno Kakolanya rasmi Simba

Beno Kakolanya rasmi Simba

14 June 2019 Friday 14:30
Beno Kakolanya rasmi Simba

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam

KLABU ya Simba leo imemsajili rasmi golikipa Beno Kakolanya.   Msimu wa 2018/2019  Kakolanya aliichezea  timu ya Yanga.

Klabu ya Simba imetangaza kuwa imeingia mkataba wa miaka miwili na Kakolanya 

"Hakuna ubishi kuwa huyu ni moja ya makipa wenye uwezo mkubwa nchini na tunaamini akishirikiana na wenzake katika kikosi chetu watatuwezesha kuongeza ukubwa wa timu na kutupatia mataji msimu ujao. Tumeshamalizana nae kwa mkataba wa miaka miwili". Inaeleza taarifa hiyo

Updated: 15.06.2019 08:12
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.