Bundi ainyemelea Simba

Bundi ainyemelea Simba

05 July 2019 Friday 14:50
Bundi ainyemelea Simba

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
MUWEKEZAJI wa klabu ya Simba na mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' leo ameandika ujumbe mwingine ambao umezidisha sintofahamu kwa mashabiki na wapenzi wa Simba.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter, leo Julai 5, 2019 Mohammed Dewji, ‘Mo' :-“Kwenye uongozi na kwenye maisha , huwa nakaribisha kukosolewa.Lakini siwezi na sikubali kufanya kazi na mtu anayehujumu malengo , mipango na maslahi mapana ya taasisi, mtu anayetoboa mtumbwi tunaosafiri nao.”.

Ujumbe huu na ule wa jana umepokelwa tofauti na mashabiki wa Simba ambao walikuwa wanahoji kuna tatizo gani ambalo limemkuta mwekezaji huyo kwa sasa. 

Jana Julai 4, 2019 Mo Dewji ali Twiti   "Watu wenye nia mbaya:  Kazi yao sio kujenga, ni kuvunja tu. Kaa nao mbali. Narudia kaa nao mbali sana!

Updated: 06.07.2019 07:02
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
0745174106 2019-07-05 23:35:34

simba kumetokea nn jmn?

Avatar
ally 2019-07-09 20:30:08

tutafika tu simba taasis nyingine

Avatar
TINO KASOKO WA NJOMBE LUDEWA 2019-07-12 12:24:23

Chonde uongozi wa simba kwa ujumla kaeni mlimalize ili mambo mazuri tuendelee kuyapata. [Simba nguvu moja]

Avatar
0711544186 2019-07-12 12:42:37

Achen uchochz mo bado 2ko nae simba nguv 1

Avatar
Me mniga boy 2019-07-13 07:08:05

Viongozi simba msiwe ivyo bana

Avatar
masal masaka 2019-07-14 21:05:05

jaman simba wamewafanyaje tena

Avatar
0656849271 2019-07-19 06:37:33

Simba damdam mbele kwa mbele