CEO Simba amjibu mzee Kilomoni

CEO Simba amjibu mzee Kilomoni

05 June 2019 Wednesday 12:12
CEO Simba amjibu mzee Kilomoni

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
AFISA Mtendaji mkuu (CEO) wa klabu ya Simba, Crescentius Magori amesema kuwa  maamuzi yote ya Simba yanafanywa na Bodi ya wakurungezi maneno ya Mzee Kilomoni anatoa maoni yake kama mdau tu maana hata kule RITA sio Mdhamini tena.

Magori amesema hata Man United na Arsenal wadau wanapiga kelele na kutoa maoni yao hata Simba wataendelea kupiga kelele tu, maana ni wadau.

 Viongozi huwa wanasikiliza maoni ya wadau yale maoni ya maana klabu tunayafanyia kazi ya ovyo tunayaacha. 

Pia Ceo Magori amedai muundo wa sasa wa Simba maamuzi yoyote yanafanywa na Bodi. 
Tusipoteze muda na vitu vya ovyo kutoka kwa wadau. 
Anasema ana hata ila mwisho wa siku hati zote za ardhi nchi hii ni mali ya Serikali hilo la hati ni dogo sana.

Updated: 05.06.2019 17:38
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
samwel 2019-06-29 14:52:39

huyo,mzee kilomon atulie mapepe hatutaki ndan ya simba