banner68
banner58

Coastal Union wafunguka kuhusu usajili wa Ali Kiba

Coastal Union wafunguka kuhusu usajili wa Ali Kiba

22 July 2018 Sunday 07:35
Coastal Union wafunguka kuhusu usajili wa Ali Kiba

Uongozi wa klabu ya Coastal Union iliyorejea Ligi Kuu Bara umefunguka kuhusiana na msanii Ali Saleh Kiba juu ya kumsaini kwa ajili ya kuichezea timu hiyo.

Siku takribani mbili zilizopita taarifa zileleza kuwa Coastal wameanza mazungumzo na Kiba kwa ajili ya kuingia naye mkataba ili kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji.

Taarifa kutoka ndani ya Coastal Union zinasema uongozi wa klabu hiyo umeeleza kuwa Kiba aliwafuata akiomba aichezee timu hiyo kwani anaipenda na anaupenda mpira.

Baada ya Kiba kuwafuata, Coastal wamesema wameamua kusikiliza ombi lake na sasa wapo kwenye mazungumzo ya kumalizana naye na ikiwezekana anaweza akawa sehemu ya kikosi hicho msimu ujao.

Tetesi za Kiba zimetekea vichwa vingi vya habari katika vyombo vya habari kutokana na kuzoeleka kwake zaidi kwenye tasnia ya muziki tofauti na mpira ambapo amekuwa akicheza kwa kujifurahisha.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
comred 2018-08-09 08:51:39

amefanya maamuz mazul kwan mond tayar kaw shoga

Avatar
Johnny Joel{The Rapper Mc J2k 2018-08-12 12:23:53

Hongera Kiba Kaza buti

Avatar
Edward 2018-08-13 20:31:41

maamzi aliyo yatoa kiba yako fresh na nampongeza sana

Avatar
maiko mapalala 2018-08-18 10:56:47

kiba kaza but maxhabik 2po nyuma yako komaa utoke

Avatar
CHIDO BROWN 2018-08-19 00:50:29

KIBA WW NOMA SANA KAZA BUTI

Avatar
samora zephania 2018-08-20 19:57:05

kiba kaz buti unatakw kua mfano kwa wawmamuzk wa tz coz wengn wamekazania fani moja 2

Avatar
panema huapa 2018-08-21 14:49:07

hngr sn kiba kwa maaumuz uliyoyachukua maan michezo ni sehemu y mazoez pia

Avatar
KAMPANDE 2018-08-22 11:38:12

that is better