banner68
banner58

Fei Toto aeleza kilichomkosesha mechi ya Yanga, kambi ya Stars

Fei Toto aeleza kilichomkosesha mechi ya Yanga, kambi ya Stars

30 August 2018 Thursday 21:20
Fei Toto aeleza kilichomkosesha mechi ya Yanga, kambi ya Stars

Kiungo mpya wa klabu ya Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto', amesema kuwa alichelewa kujiunga na kambi ya Taifa Stars baada ya kwenda kwenye msiba wa mchezaji mweziye, Said Makapu.

Toto alikuwa Zanzibar kwa ajili ya kumpa pole Makapu ambaye alifiwa na mama yake jambo ambalo lilipelekea akaondolewa kwenye msafara wa wachezaji waliosafiri kuelekea Rwanda kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports.

Kiungo huyo aliondolewa kwenye kikosi cha Stars kwa sababu alichelewa kuripoti kambini, jambo ambalo TFF imelichukulia kama utovu wa nidhamu.

Toto anakuwa katika ile orodha ya wachezaji 6 wa Simba ambao waliondolewa pia baada ya kuchelewa kambini bila kutoa taarifa ya sababu za wao kufanya hivyo.

Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Kingsley 2018-08-31 12:02:11

Ah!toto ubadilike sasa acha mambo ya kizamani

Avatar
AWADHI 2018-09-03 12:38:31

TOTO WAKILISHA YANGA ACHA UTOTO

Avatar
andy 2018-09-06 15:24:53

pole said juma

Avatar
fredy thobiasi 2018-09-09 22:28:15

fei toto kazan xn kak cheki msuva we2

Avatar
HENLICK 2018-09-13 08:11:22

fei toto ongeza bidii

Avatar
kulwa 2018-09-13 12:57:02

fei toto 2lia dogo umli bad wakukamata dimb

Avatar
paul matembe 2018-09-14 11:46:56

pole na msiba ila kumbuka mpira ndio maisha yako acha uzembe YANGA TUPO

Avatar
Steven Ngonyani 2018-09-23 06:59:25

. . Sahau Yaliyopita Ganga Yajayo.. Pole Sa Makapu