banner68
banner58

Hii ndio timu aliyojiunga nayo Obrey Chirwa wa Yanga

Hii ndio timu aliyojiunga nayo Obrey Chirwa wa Yanga

12 July 2018 Thursday 18:24
Hii ndio timu aliyojiunga nayo Obrey Chirwa wa Yanga

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga raia wa Zambia Obrey Chirwa baada ya kumaliza mkataba wake na Yanga, amejiunga na club mpya ya Misri aliyojiunga nayo kama mchezaji huru.

Chirwa amethibitishwa rasmi kujiunga na club ya Nogoom El Mostakbal Football Club ya Ligi daraja la pili Misri, club hiyo imeanzishwa miaka 12 iliyopita na mafanikio yake makubwa ni kucheza Egypt Cup na kutolewa na Zamalek.

Taarifa za Chirwa kujiunga na club hiyo zimetolewa rasmi kupitia ukurasa wa instagram wa club hiyo “Tuna furaha kumtambulisha mshambuliaji mpya Obrey  Chirwa ambaye nimchezaji wa zamani wa club ya Yanga ya Tanzania.”

Millard Ayo

Keywords:
Obrey Chirwa
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.