Ibrahim Ajibu ajiunga Simba

Ibrahim Ajibu ajiunga Simba

03 July 2019 Wednesday 13:44
Ibrahim Ajibu ajiunga Simba

Na mwandishi wetu, Dar es Salaam
KLABU ya Simba imemsajili rasmi mchezaji Ibrahim Ajibu.

Ajibu ambaye ametokea klabu ya Yanga kama mchezaji huru,  hii leo Julai 3, 2019 amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea timu ya Simba.

Taarifa ya klabu ya Simba inaeleza: "Safari ya mtoto kuishi mbali na nyumbani imefikia ukingoni. Ibrahim Ajibu ameamua kufanya maamuzi sahihi ya kurudi nyumbani Msimbazi, ndio amerudi na amesaini mkataba wa miaka miwili kucheza na kuwapa furaha Wanasimba. Karibu nyumbani Ajibu"

Updated: 04.07.2019 10:48
Comments
Avatar
Your Name
Post a Comment
Characters Left:
Your comment has been forwarded to the administrator for approval.×
<strong>Warning!</strong> Will constitute a criminal offense, illegal, threatening, offensive, insulting and swearing, derogatory, defamatory, vulgar, pornographic, indecent, personality rights, damaging or similar nature in the nature of all kinds of financial content, legal, criminal and administrative responsibility for the content of the sender member / members are belong.
Avatar
Hippo guide 2019-07-03 14:13:38

Intelligent man you're welcome

Avatar
ured omary 2019-07-03 16:10:24

michezo

Avatar
pascal mungai kutoka qhaeshoman mbulu-manyara. 2019-07-17 01:53:37

nampongeza ajibu kurejea msimbazi. Karibu xan brother

Avatar
WILIAM 2019-07-18 21:22:18

SAFI SANA AJIBU